0 views
April 7, 2012 ni siku Steven Kanumba aliyofariki katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake watanzania kutoka sehemu mbalimbali watakutana kwenye tamasha la bure pale Leaders club kwa lengo la kumuenzi na kuangalia yale aliyofanya katika enzi za uhai wake pamoja na uzinduzi wa filamu yake ya mwisho, Love and Power. Hizi ni baadhi ya picha kwenye filamu hiyo.
























TAZAMA PICHA TATU ZA NGUVU ZIKIMUONYESHA STEVEN KANUMBA JR AMBAYE AMEZALIWA NA DADA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA.
Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili. | Spoti na Starehe
Katika ukurasa wake wa instagram Steve Nyerere amepost picha ya marehemu Steven Kanumba akikumbuka kifo chake na kuandika ujumbe akisema kuwa muigizaji huyo nguli, ameondoka na sanaa ya filamu na kilichobaki kwa wasanii ni chuki na unafiki.
Date: March 5, 2023












