Mrembo ambaye ni mwanamitindo Hamisa Mobeto aka Hamisa Kadomo amemweka hadharani mpenzi wake aliyeuteka moyo wake.
Katika post nyingine Hamisa alishare picha nyingine wakiwa wameshikana mikono kwenye gari na kuandika mistari mingine ya makopa:
Dj Majey naye kupitia Instagram yake alishare picha ya Hamisa na kuandika
Hamisa alizungumza na gazeti moja la Global Publishers na kusema kuwa yeye na Majey wana mipango ya kufunga ndoa.
Ukitaja majina ya mamodel wakali wa Tanzania ni yapi yanakuijia haraka? Jacky Cliff ambaye kwa sasa amepotea kutokana na sakata lake la kukamatwa na madawa ya kulevya China, Maggie Vampire aliyeshoot tangazo jipya la Samsung akiwa na AY na wengine unaowafahamu lakini huwezi kuacha kumtaja Hamisa Mobeto.
Msichana huyo amekuwa hotcake kwa sasa si Tanzania tu bali hata Kenya ambako amewahi kukava jarida la Pulse la nchini humo. Tazama baadhi ya picha hizi zinazoonesha ukweli huo kuwa Hamisa ni model namba moja wa Tanzania kwa sasa.
Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano Tanzania (TCRA) imempa onyo mwanamitindo na mjasiliamali Hamissa Mobetto kwa kukiuka maadili ya mtanzania na kuvunja sheria za mtandaoni kwa kurusha picha za utupu kupitia mtandao wa instagram.
Hata hivyo Hamisa katika utetezi wake amekiri kuwa picha ni za kwake licha ya kukana kuwa hafahamu akaunti zilizotumiwa kuchapisha na kurusha picha hizo.
Kamati ya maudhui imesema kuwa kwakuwa Hamisa amekiri kuwa picha ni zake na alizipiga kwa lengo la kufanya biashara atawajibishwa.
Hivyo kamati imeamua kumpa onyo kali Hamisa Mobetto na endapo atatenda kosa kama hilo tena hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.