Mwanamama huyu maarufu kwenye tasnia ya filamu, aliitwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ na kupewa onyo kali la mwisho ikiwa ni baada ya kuposti picha ya nusu utupu kwenye ukurasa wake wa Instagram kinyume na maudhui ya mtandao. Sambamba na onyo hilo, alitakiwa kuomba msamaha kupitia ukurasa wake huo na kweli akatii maagizo hayo.






Mwanamuziki maarufu wa Tanzania Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize sasa anadai kuwa ni mwanamuziki mwenzake Rayvanny alivujisha ke za utupu na kumsababisha penzi lake kuvunjika.
Kwa hapa Tanzania, Basi TOP TEN ya mastaa kuvaa nusu utupu siyo issue kwao!
Baraza la Sanaa Tanzania yatoa kauli yake kuhusu utupu za Ben Pol